FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 701
- 840
Ngoja nikomae na hawa maana ndo niliwapa pesa wanipelekee 1xbetMkuu 1xbet haijasajiliwa Tz hata hao Selcom wanafanya kimazabe tu.... NI KOSA KISHERIA
Hata tunao tumia mawakala bado ni njia za panya hazitambuliki rasmi, ukidhulumiwa huna pa kwenda (ila angalau mawakala wana uhakika zaidi)
Ukitaka kuwa safe angalau hakikisha unatumia kampuni zilizosajiliwa bongo(.co.tz) lazima zitakua chini ya Bodi ya michezo ya kubahatisha ambayo inasimamia haki na maslahi ya mkamalia pindi anapozinguliwa na kampuni za kubet
Waepuka sana na Helabet maana hawa kila baada ya muda wakipiga sana watu wanafunga biashara na kuja na jina lingine.... walianza kama 22bet na sasa ni Helabet
Hapo komaa na Selcom tu