Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid
Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5 hela ndefu naliwa
Nimeliwa mno nimechoka naona betting hapana yaan litim linashinda wee ila siku ukiliwekea unaliwa
Ntabaki kwenye jukwaa kupiga story ila me kuweka tena mkeka NO
Ukiwa muongo muongo!.... Umeze memory card yenye GB nyingi!.... kwaajili ya kutunza kumbukumbu tu! 👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20231214-003243.png
    Screenshot_20231214-003243.png
    19.5 KB · Views: 23
Back
Top Bottom