Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kum***e zao wachezaji wote wa Barcelona
Hao wachezaji wa Barcelona Wana kosa Gani!?.... Unawaonea Bure tu!...

Mchezaji namba moja wa kulaumiwa... Ni wewe Captain Fire ...

Captain Gani unashindwa kusoma upepo!? Kumbuka wao maumivu yako hawayajui wala kuwahusu..... Ya kwamba umeweka mzigo!

Kumbuka wao wanaocheza mpira,.... wewe unachezea hela!...

Kuna mmoja hapo anaechezea pesa... Anapaswa pia acheze na akili... Ya kusoma Alama za nyakati!!!
 
Kampuni Gani ya betting inamiss hapo chini? Google wanatunza kumbukumbu!!!
 

Attachments

  • Screenshot_20231214-133823.png
    16.8 KB · Views: 24
  • Screenshot_20231214-133847.png
    16.4 KB · Views: 21
  • Screenshot_20231214-133934.png
    15.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20231214-134007.png
    15.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_20231214-134024.png
    14.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_20231214-134049.png
    16 KB · Views: 23
Weeeeee. acha basi
Milioni 3 unaona nyingi mzee kwenye code 1!?

Zinasukwa k
Code humu...kuntu bi culture!....za mpaka za milioni 85 mechi tatu!...

Inapendeza kuingalia hiyo hela kwenye screen ya simu kwenye code!.... Ila shughuli pevu iko hapa!!! ✅

Kupata hiki kinanihiii hiki! ✅ moja!.... Ni
Kazi pevu zaidi ya kupalilia heka 10 za miwa pale kilombero!! Kwa siku!
 
Master hamna codes chache za asilimia kubwa ya ushindi ili nipakie mkwanja mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…