Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani wabongo kazi ipo huko unafata ninI cha ziada
 
Mi namshauri apeleke malalamiko bodi ya michezo simple tu unawaandikia email . Na viambata vyako
Afanye hivyo ila end of the day betpawa waamue warudishe bonus yote au waondoke..maana wanaforce saa hivi watu wengi wamewahama.. kipindi kile codes za betpawa kibao humu siku hizi sporty tu na 1xbet kidogo
 
Mmmh hii ya double chance hapana kubet jackpot always ni normal yaan 1x2 , either useme nani ashinde au draw full stop. Ingekuwa na double chance wangepigwa Kila siku.
Double chance ipo vizuri sana sema kila mechi unayoweka stake inaongezeka pakubwa.

Mfano kwa sportpesa, jackpot ya games 17 ukisema utembee na double chance unaweza kuweka hadi games 10 zikiwa na option ya double chance.

Ila sasa stake yake siyo buku tena.. inakua ni 1,024,000/= na inapatikana kwa kuzidisha buku kwa 1024 combinations.
 
Mnaoangalia game ya Pyramids vipi double chance itatoa kweli mana safari nmewasha data hapa naona ameshawekwa kimoja
 
last 2 tips jaribu

1st Tip

Werder vs
Leipzig -ov 2.5

FC Eindhoven vs
Fortuna Sittard - ov 2.5

SV Spakenburg vs
Excelsior Rotterdam - ov 2.5

4 odds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…