Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.

Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)

ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.

Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Duka direct ukiwatafuta wanakuambia watafute wallettec hawa wao kiwapata ni kwa email tu kazi ipo asee
 
Tip 2

Esteghlal Khuzestan FC vs
Persepolis FC - away win

Istanbul BB vs
Sivasspor - over 1.5

Gaziantep FK vs
Adana Demirspor - over 1.5

Everton vs
Fulham - over 1.5

CSM Politehnica Iasi vs
Fotbal Club FCSB - draw or away

weka nyumba[emoji4]

odds 3.14

good day people
 
Asante Sana,je hizo mechi zinatakiwa zishinde kwa mfuatano au hata kama zisipotiki kwa mfuatano wa kuanzia 1-10,11,12 au 13 unalipwa?
Wewe ziende kwa mfatano, ziende kwa zigzag yani ziende ende tu bila utaratibu imladi uangukie kwenye bonus mkuu ndo cha muhimu, muhimu ufikishe 10 na kuendelea wewe unageuka mpunga😆
 
Sportybet mkeka mama huo ....kisha mseme kanji kawapiga wakati ni edit tu pesa nje nje ...achaneni na mikeka vya odds mbili mbili ....hapa ukifanya edit kama 10 hivi pesa nje nje

0EEED44
 
Huo ndio ubaya wa jackpot za baadhi ya company , mm kiukwel upande wa jackpot napenda ya sportpesa kwasb hawana hizo taratb za mpangilio , kma umefikisha idadi ya bonus unapewa hata kma hazijashinda Kwa mfuatano mm nlishawah pewa bonus sportpesa na mech Wala hazikufuatana.
Mkuu sio lazima zifuatane ingekuwa ni hivyo mbona ingekuwa ngumu kuliko ata kufanya analysis
 
iPhone 8+ storage 64gb BH 97 fingerprint ✅ @300,000/= 💰

+255676721372 ☎️
 

Attachments

  • IMG-20231219-WA0007.jpg
    IMG-20231219-WA0007.jpg
    92 KB · Views: 25
Mkuu sio lazima zifuatane ingekuwa ni hivyo mbona ingekuwa ngumu kuliko ata kufanya analysis
Hapana ni kwel betpowee ni lazma ushindi wa match zako ufuatano nishawah kusikia hii kitu sio Kwa huyu tu, yaan match ya kwanza ikitiki , inayofuata ikikosa bac ushachana inabidi kma kuchana ichane ya mwisho na sio katikati
 
Da; huko dolo ni pagumu bora kukimbia asee,
Serious mm BP nishatemana nao naona wazinguaji tu na vile Kuna muda walidelay kuingizia watu pesa zao za ushindi nkatemana nao yaan mm kuhs jackport na deal na sportpesa kwanza match zao ni kama zinatabirika fulan hv lakin pia pesa ya sportpesa ni ndefu kwenye jackpot jackport ndogo ni kuanzia Milion 450 huko.

Match za kawaida natumia sportybet naona wako vzr kwasasa na Wana michezo mingi hata basketball [emoji459] kule unakuta zimemwagwa kama zote.
 
Back
Top Bottom