Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani,mwenye kujua anielekeze,hivi kwenye JACK POT ya betpawa ile ya tsh.100/=,unatakiwa ushinde mechi ngapi miongoni mwa zile 13 na zile 17 ili upewe BONUS?
 
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.

Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)

ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.

Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Muamala unakuwa rejected na Operator kwa sababu Selcom Duka Direct hajapeleka Pesa .Na TAPELI letu hapa ni hili Selcom Duka Direct.
Mimi nimeshawareport GBT na TRA.Kama mbwai na iwe mbwai hawawezi chukua kiasi cha laki moja yangu Mother....f
 
Jamani,mwenye kujua anielekeze,hivi kwenye JACK POT ya betpawa ile ya tsh.100/=,unatakiwa ushinde mechi ngapi miongoni mwa zile 13 na zile 17 ili upewe BONUS?
Mechi 13 bonus inaanzia mechi 10,11,12 na 13,
 

Attachments

  • Screenshot_20231219_092115_Chrome.jpg
    Screenshot_20231219_092115_Chrome.jpg
    79.5 KB · Views: 25
Sportybet Longshot. Matches starts today, to January 3rd.

Booking Code: C301B4C

To load the code select Tanzania, then load your code and and bet.

Edit and flex according to your needs. Follow us and share this tweet.
Go and follow us on X. Search Kayombo Tips.
 
SIVASSPOR FT X
3.00
MXB
 

Attachments

  • IMG_20231219_094705_505.jpg
    IMG_20231219_094705_505.jpg
    26.3 KB · Views: 23
Tip 1

Chelsea vs
Newcastle - over 1.5

Hoffenheim vs
SV Darmstadt 98- over 1.5

Istanbulspor AS vs
Trabzonspor - away win

Werder vs
Leipzig - away to win either half

Borussia D vs
Mainz - home to win either half

3.82 odds

weka mpunga mzuri ulale fresh leo
 
Asante Sana,je hizo mechi zinatakiwa zishinde kwa mfuatano au hata kama zisipotiki kwa mfuatano wa kuanzia 1-10,11,12 au 13 unalipwa?
Huo ndio ubaya wa jackpot za baadhi ya company , mm kiukwel upande wa jackpot napenda ya sportpesa kwasb hawana hizo taratb za mpangilio , kma umefikisha idadi ya bonus unapewa hata kma hazijashinda Kwa mfuatano mm nlishawah pewa bonus sportpesa na mech Wala hazikufuatana.
 
Muamala unakuwa rejected na Operator kwa sababu Selcom Duka Direct hajapeleka Pesa .Na TAPELI letu hapa ni hili Selcom Duka Direct.
Mimi nimeshawareport GBT na TRA.Kama mbwai na iwe mbwai hawawezi chukua kiasi cha laki moja yangu Mother....f
Mimi nimewatumia email 1xbet hawajajibu bado. Nimewapigia selcom wamesema muamala ulikamilika waliipeleka pesa kunakotakiwa na wamenitumia na uthibitisho wa msg.
Sasa wamenipa email ya walletec wamesema niwasiliane nao hao.
 
Back
Top Bottom