Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku imeisha kanji kakubali za uso
 
Attachments

  • Screenshot_20231219-004231.jpg
    Screenshot_20231219-004231.jpg
    103.7 KB · Views: 24
Huu mkuke ni hela ya chai asubuhi supu
 
Attachments

  • Screenshot_20231219-010028.jpg
    Screenshot_20231219-010028.jpg
    94.7 KB · Views: 24
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.

Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)

ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.

Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Tuma email ulivyo elekezwa
 
pole sana mkuu Shin Lim kuna baadhi ya mawakala wa 1xbet ni matapel kwel ila mfano mimi namtumia ROMANO huyu ni wakal wa dunia taarifa zake zipo open mno mawasiliano yake ni 0716422816
 
Naona yanasubiriwa mahanjam!... Ya Porto na shogaake! Sporting!.... Taona moto!!!

Dadek!... Siku witiri sana hii! Kwangu... Bora ingekuwa tasa! ... Ningeipeleka kwa mwamposa ifanyiwe maombi!....ibadilike iwe shufwa!!!
Sporting cp kagawa pesa mapema sana
 
Tokea nianze kudeposit na ku-withdraw kwa mpesa, ni wiki ya tatu sasa na sijakutana na tatizo.
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.

Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu na na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)

Back
Top Bottom