Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna kodi. Nikishinda 500,000 napewa 500,000.

Hawana option za kumbana punter. Kwenu betpawa unakuta mechi imeanzia na over 2.5 wakati hisia zinakutuma kabisa goli 3 mtihani hazifiki, unajilipua kwa shingo upande hivyo hivyo. Mechi hiyo hiyo unakuta 1xbet wameanzia na over 0.5, na mwisho wa siku unakuta zimepatikana goli 2.

Kwa ufupi 1xbet sihami, tumeshapita nayo katika wakati mgumu wa kudeposit kwa bank na bitcoins sembuse leo!
Kwahiyo walioweka pesa kwa simu na option imeondolewa tutatoaje? Naona hela ya Supu lakini kuitoa siwezi.

Hawa wameweka Masharti njia uloweka ndio hiyo hiyo ya kutolea
 
Kwahiyo walioweka pesa kwa simu na option imeondolewa tutatoaje? Naona hela ya Supu lakini kuitoa siwezi.

Hawa wameweka Masharti njia uloweka ndio hiyo hiyo ya kutolea
Mrejesho.
Nimejaribu kutoa kwa skrill halafu nikahamishia airtel Money kwenye 650k nimeishia kupata 580k 70k imepotea njiani
 
jamani msaada mwenye kujua namna ya kuitoa hii nilipata bonas 65k nikashinda 530k sas naona wamenipa mashart tena mwenye kujua hiliView attachment 2847721
Screenshot_20231220-031148_888starz.jpg
View attachment 2847722View attachment 2847723
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] vipigo vya leo nasema Kanji Samalekoooo umejua kunichakaza mbwa ww [emoji119] sitakusahau shetani wa mguu mmoja ww [emoji24][emoji24]
Samaleko daaahhh[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom