Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hali ngumu wakamalia hizi timu hazitabiliki kila ukigeuka Ni kichapo sa sijui tubet Nini.
Huku unampa simba win kule Napoli anachakazwa
 
Wakuu hii mechi ya Uto vp leo?

Nataka nimthamini niweke 1m , naona kama anashinda hivi, Odd ni 1.63.

Ushauri.
Yanga wanakalishwa leo yanga 1-2 beti magoli ila ukiipa nzima yanga ni kama umeiamni Napoli
 
Wakamalia, hivi bundesliga kuna nn naona kama mechi za mwisho mwaka huu ni leo. Hadi january tena... nini issue hapo kati?
Hayo ni mapumziko ya majira ya baridi (winter break). Miezi Hii kule kwao ni msimu wa baridi huwa inafikia hatua mpaka pitch zinafunikwa na barafu. Halaf mbona huo ni utaratibu wa kila mwaka au wewe ni mgeni wa soka la ulaya?
 
Screenshot_20231220_064930_betPawa.jpg

Bet inaenda na uchambuzi mzuri pamoja na bahati.
ila kuogopa odds ni umasikini.
kufuata odds ndogo kwakuamin ndo timu itakayoshinda ni kujidanganya
 
Leo kutaaaaaaaaam aiseeeeee hadi rahaaaaa

Ngoja nitulie, maana mkeka wa wiki zimefika team 60 si upumbavu huyu.

Sasa ngoja ni edit czioatikane zenye ahueni.Then anatupia humu

Angalizo:
Liverpool vs West ham ipeni Cards/Bookings over 2.5 ina odds sio mbaya maana hii ni Robo Fainali,kiatu kitawaka tuu humu
 
⚽ Wednesday betting tips ⚽

🇩🇪 Bayer Leverkusen 🆚 VfL Bochum
🕑 Bundesliga, Wednesday, 22:30 GMT+3
🚨 Prediction: 1️⃣, Odds: 1.17
🚨 BTTS Prediction: ❌, Odds: 1.91
🚨 Correct Score Prediction: 2️⃣:0️⃣, Odds: 7.50

🇩🇪 Wolfsburg 🆚 Bayern Munich
🕑 Bundesliga, Wednesday, 22:30 GMT+3
🚨 Prediction: 2️⃣, Odds: 1.36
🚨 BTTS Prediction: ✅, Odds: 1.62

🇩🇪 VfB Stuttgart 🆚 FC Augsburg
🕑 Bundesliga, Wednesday, 22:30 GMT+3
🚨 Prediction: 1️⃣, Odds: 1.36
🚨 Correct Score Prediction: 2️⃣:0️⃣, Odds: 8.00

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool FC 🆚 West Ham United
🕑 League Cup, Wednesday, 23:00 GMT+3
🚨 Prediction: 1️⃣, Odds: 1.44
🚨 BTTS Prediction: ✅, Odds: 1.62
 
Back
Top Bottom