Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu mkeka uki win niite mbwa koko
Wewe ndio mnao lose bets!
hii over ilikuwa over 1.5
sasa ku lose 200 ni ishu?Weka bets za siku 7, wins kila siku kama navyoweka. Sasa unaweka ki bet cha siku 1 single hatujui umeshinda shingapi.
Najua huwezi kwasababu una lose sana.
sasa ku lose 200 ni ishu?
Oi unatumia kampuni gani kubeti? Pia ningependa uwe unatupa codes tunajaza tu ama mikeka yako inafaa kuweka mmoja mmoja? Nimevutiwa sana na ulivyosema unakula 150k weekly🤣 kuna wale wana bet kamari na kuna mimi mfanyabiashara wa bet, kila mwisho wa wiki nina zaidi ya Tsh. 150,000/=
200 mara siku saba ni laki na hamsini?...kumbe wewe ni mwehu🤣 kuna wale wana bet kamari na kuna mimi mfanyabiashara wa bet, kila mwisho wa wiki nina zaidi ya Tsh. 150,000/=
taperi huyo ale laki hamsini..halafu aje atusumbue hapa jf....huyu ni masikini tena wa kupitilizaOi unatumia kampuni gani kubeti? Pia ningependa uwe unatupa codes tunajaza tu ama mikeka yako inafaa kuweka mmoja mmoja? Nimevutiwa sana na ulivyosema unakula 150k weekly
una roho nzuri sana ya kushea mikeka yako.....sema nini nitafute pm2B84950 betpawa leo jumatano.
MKeka wa option ya sare/draw. Nyingi ya mechi (siyo zote) zitatoa sare hapa. Jaribu bahati yako kwa kupunguza baadhi ya mechi.
Kila la heri maafisa.
Nataka awe anatumia codes ilituhakikishe anayoyasema hatuwezi kujua labda ni tapeli kama unavyosema ama anapiga hela kwelitaperi huyo ale laki hamsini..halafu aje atusumbue hapa jf....huyu ni masikini tena wa kupitiliza