chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
72EF7B9Nimechoka kupoteza kila siku, Tafadhali nahitaji code ya uhakika ya leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
72EF7B9Nimechoka kupoteza kila siku, Tafadhali nahitaji code ya uhakika ya leo.
Acha kubetNimechoka kupoteza kila siku, Tafadhali nahitaji code ya uhakika ya leo.
Huwa unatuma vitu visivyoeleweka... hatuitaji kujua una bet au haubet .. Sasa hayo yanatuhusu nini sisi..
mimi nime ignore sitaki nione ufara wakeHuwa unatuma vitu visivyoeleweka... hatuitaji kujua una bet au haubet .. Sasa hayo yanatuhusu nini sisi..
Ndo zao mkuu,wakati mwingine unajuta kwanini umechagua hiyo timu, ni heri kubet vitimu vikubwa ili kama jahazi inazama uweze hata kufanya cash out,inaumiza sana aisee unakuta timu zingine zipo live zimepita ila unazuiliwa cash out kisa mechi hawajaweka liveIvi mmegundua na nyinyi kuwa betPawa huwa hatoi cash out kama mechi haonyesh live kwenye web yake??
Haloooo ndoleo nimegundua Kuna mechi ya Algeria U21 mpaka saizi dk ya 80 bilabila nanimewapa over 1.5,cash out haipo [emoji28][emoji28][emoji28] elfu sitini yote inaenda kuzama dah betting nyokoNdo zao mkuu,wakati mwingine unajuta kwanini umechagua hiyo timu, ni heri kubet vitimu vikubwa ili kama jahazi inazama uweze hata kufanya cash out,inaumiza sana aisee unakuta timu zingine zipo live zimepita ila unazuiliwa cash out kisa mechi hawajaweka live
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechana..pole aiseeGalatasaray over 1.5🙏🙏🙏
Bado hao maddogo sasa goal Moja tu
Kaomdoka Na mkeka wanguGalatasaray Amedraw saa ngapi tena?
Pole mkuu. 60,000 parefu sana.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2868830