Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimechoka kupoteza kila siku, Tafadhali nahitaji code ya uhakika ya leo.
Acha kubet
Kamari kharam itakupeleka motoni.

Sio Sehem ya kutafut la maisha Ili utoke.

Sie wenzio humu wote mashetani,sijui wewe binadam wa bet za uhakika umeingiajeingiaje humu.

Narejea, ACHA KAMARI kabisaaaa huku umepoteza na utapotea mazimaaaaaa na uzee huooooo fastaaaa
 
Ivi mmegundua na nyinyi kuwa betPawa huwa hatoi cash out kama mechi haonyesh live kwenye web yake??
Ndo zao mkuu,wakati mwingine unajuta kwanini umechagua hiyo timu, ni heri kubet vitimu vikubwa ili kama jahazi inazama uweze hata kufanya cash out,inaumiza sana aisee unakuta timu zingine zipo live zimepita ila unazuiliwa cash out kisa mechi hawajaweka live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bets za Leo 11-1-24

1. Cavs Winner (NBA)

2.Thunder/Portland over 235 (NBA)

3. Oilers/Redwings over 6.5 (NHL)

4. Devils/Lightning over 6 (NHL)

5. Kings/Panthers under 6.5 (NHL)

6. Flames/Coyotes over 6 (NHL)

7. Tulane/FAU over 161 (NCAAB)

8. Illinois/Michigan St over 149 (NCAAB)

Leo ni Big WIN! LETS CASH! Tukutane kwenye dirisha la cashier πŸ€πŸ’°
 
Haloooo ndoleo nimegundua Kuna mechi ya Algeria U21 mpaka saizi dk ya 80 bilabila nanimewapa over 1.5,cash out haipo [emoji28][emoji28][emoji28] elfu sitini yote inaenda kuzama dah betting nyoko
 
Bets za leo 11-1-24

Bet singles pekee, usiweke multiple!

Unit moja moja kila bet.

Codes:

1. 46D2706

2. A5784D

3. CB17AA

4. CE47E1C

5. 546B54

6. 5C5AC7

7. 3292A83

8. B7430D7

------------------------------
πŸ‘†πŸ‘†
Kama unataka winnings bure hizo hapo!

Kama unataka kanju akupige πŸ”¨nyundo weka multiple loss endelea na mpira! 🀣🀣

Kwa wale mme anza kuni follow bets twende kazi leo ni BANGER! πŸ’°πŸ€‘
 
5 basketball odds for Helabet πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Booking Code: VEEML

Jisajiri Helabet na ubeti hapa πŸ‘‡

Jisajiri Helabet Hapa

Tumia Promocode: SASA wakati wa kujisajiri upate bonus ya asilimia 100 mara tu unapoweka hela yako kwenye akaunti yako ya bonus ya Helabet.

Promo code: SASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…