Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Humu tunaongoza kwa MAHUBIRI

Mikeka ikichanika tunarudi na mikakati kibaoooo,ukibadili options ukila za uso unarudi kulekule kimyakimya.

Acha Bahati ichukue nafasi yake.

Ila nawaambia,hapa tulipofikia tutabet mpaka tukiwa wazeeeee
Tujiandae wajukuuu kutuibia Hela zetu au kutuuwa mkeka mkubwa ukitiki
 
Mi Nina kaushauri,,,,

Iko hivi timu kubwa kupoteza huwa ni ajali tu,,,,, chukua japo timu moja kwa siku za ligi kubwa tu,,, achana na matimu ya cjui Greece cjui ureno no.

Nenda itali, England, Spain na France, chukua wababe tu kisha suka keka la win alafu sikilizia,,,,

Usiwe na pupa iko siku,,, weka hata timu 12 kwa jinsi utakavyoona
 
Hapo Italy utata kidogo, wanabet sana wale.
 
Hapo Italy utata kidogo, wanabet sana wale.
Kuna timu tatu tu za kutembea nazo mzunguuko wa pili, Juventus, intermillan na Lazio wakiwa nyumbani

Kikubwa siyo guarantee kutoa ila kuna ka mwanga hata wakichana inatokea tu

Ila unacheza hata mkeka wa mwezi ukichana unatengeneza mwingine,,, ndani ya miezi miwili kuna mmoja utatoa tu,, sema kadau kidogo kawe kanene ili hata ukipiga unapunguza machungu
 
Live betting kama upepo ukoligoma bhana inakuwa kama kauchawi flan hivi ,,, sa hawa madada wamekaza vinzuri alafu ndo nn sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20240112-072009.png
    26.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240112-072047.png
    84.6 KB · Views: 5
Hapo Italy utata kidogo, wanabet sana wale.
kaka hivi zile bilions ulizosemaga mwaka jana ulikula kweli?? Mana mi nilikuwa u.s.a nimerud jana, kama shabik yako ningependa kujua hilo,, mana broo nakumbuka ulisema "nisipo kula bilions wiki ijayo sio mimi na sibet tena" sasa mwenzio baada ya kusema vile siku ya pili nikapigiwa simu ya kikazi huko, manchester kwahy naomb majibu
 
7BAA118 betpawa leo ijumaa, option ya direct win. Weka shilingi 100 upate milioni 477.
Nataka weka elfu moja nione kama itakubali kuleta bilioni 4.77.
 
mnabeti kitoto sana,, na mtaliwa sana.. Mngekuwa mnanisikiliza na kuenda na mimi taratibu mwisho ningewakabidhi ndumbaa sasa nyinyi wajuaji saana inaonekana kbs muumbaji kawa turn on kwenye kitabu cha kuwa maskin mpaka the lost life winaa agooo ze ovaaa,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…