Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nashangazwa na watumiaji wa huu uzi wanaokuja tena PM kuomba codes wakati codes zote zipo hapa.
Ni kiashiria cha utapeli au usnitch.
Sina na kamwe siwezi kuwa na mawasiliano yeyote na yeyote PM ya jf.
Bora hao wanaoomba code ni sawa na kuomba shamba ili apande mbegu. Kuna wengine huwa wanakuja PM kuomba hela ili wabetie.
Mimi hata kujibu huwa nashindwa aisee! Mimi mwenyewe nikiwa sina hela au bajeti mbovu nakaa hata wiki bila kubeti.
 
1xbet wamerudisha kuweka na kutoa mwenyewe kwa mitandao ya simu
IMG_9333.jpeg
 
IMG_20240113_140836_200.jpg

11 odds on Helabet. Highly analysed Odds ⚽⚽⚽

Booking Code: 5S4YM

Jisajiri Helabet Hapa 👇👇👇

Jisajiri Helabet Hapa

Promo code weka neno: SASA

Utapata bonus ya asilimia 100 ukiweka pesa kwa mara ya kwanza kwenye akaunti yako ya Helabet.
 
Back
Top Bottom