Na wewe umezimiwa wapi mkuu? Au Mwalimu Nyerere HEP kabisa?[emoji45]Humu kuna mawakala wa muhnd haiwezekani code zote zichanike
Mbn wanasema expired mkuu βΌοΈππ
Umeleewa lakini nilichoandika hapo!?... Kwenye hiyo post yangu!? Watu wagumu sana kuelewa!Mbn wanasema expired mkuu βΌοΈππ
Kuna kamkeka kangu ka mkakati wamebaki Lazio na Juventus,,,,wote wako nyumbani naamini watatoaAchana na ligi za Italia mkeka wowote wa kimkakati.
Hongera sana mkuu hii ndo maana ya kueditWakuu atimaye mtaji wa 200 umetosha kumliza kanjii bayiii code nimechukua humuu nkachambua chambua nkajaribu bahat .View attachment 2871062
ukitupia code nitag mkuuKAMA ULIWEKA FLEXIBLE BASI ULIPIGA HELA MKEKA ULIKUWA NA ODDS 263
NILICHOJIFUNZA : FLEXIBLE BET NI BORA KULIKO ONE CUT MAANA NILIWEKA ONE CUT NIKAAMBULIA STAKE YANGU NILIYOIWEKA
BETTING IS 99% SKILLS AND 1% LUCK
Hiii tips ni moto wa kuotea mbali
Vipi code zako za Jana zinaendeleaje, nataka reference nipate pa kuanzia siku ya Leo.Hope kumekucha salama maafisa, hongereni wale waliokula jana. Pole kwa wale walipoteza stake jana. Mapambano yanaendelea.
Tuendelee share codes hapa, na kuziedit pia. Tusisahau adui yetu ni mmoja tu, kanjibai.
Watakuja toa mrejesho hapa waliozicopy.Vipi code zako za Jana zinaendeleaje, nataka reference nipate pa kuanzia siku ya Leo.
Nimeifata saa hivi nitakuwa naweka flexible one kwa kweliKAMA ULIWEKA FLEXIBLE BASI ULIPIGA HELA MKEKA ULIKUWA NA ODDS 263
NILICHOJIFUNZA : FLEXIBLE BET NI BORA KULIKO ONE CUT MAANA NILIWEKA ONE CUT NIKAAMBULIA STAKE YANGU NILIYOIWEKA
BETTING IS 99% SKILLS AND 1% LUCK
Sawa nikikumbuka nitakutag au jaribu kunifollowukitupia code nitag mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Betis ananilaza njaa