AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
AFB0E7E betpawa leo jumapili, odds mia sita. Option ya FT under/over 2.5 goals.
Kila la heri maafisa.
Kila la heri maafisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ubaya wa flexbet mikekaa inajazanaa wakati yote ushaliwaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana Kuna codes mbili humu zimeloose game moja tu...[emoji1787]one cut jau Bora flexible one, shida nayo mkeka hautoki mpaka mechi ziishe ma open bet yanajazana tu pale
Ungeweka buku mbili una million nane, kweli mtaji ndounatuangushaWakuu atimaye mtaji wa 200 umetosha kumliza kanjii bayiii code nimechukua humuu nkachambua chambua nkajaribu bahat .View attachment 2871062
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Humu kuna mawakala wa muhnd haiwezekani code zote zichanike
Kaka Bado uko hapo kwa Mangi?FT SIMBA VS MLANDEGE
DRW
X
NIKOKWA MANGIIIII
Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuuHumu kuna mawakala wa muhnd haiwezekani code zote zichanike
Pole kamanda usisahau kuwa maisha ni vita
Chelsea kaninyima hela Jana peke yake kashindwa kutoa over 1 5
Hakika shukrani ya punda ni mateke. Sasa wewe codes zako zinazowin ziko wapi? Si utume humu watu wawin?!.Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
Just ziskip na kuziignore tu, hakuna anayekulazimisha kucheza code yeyote hapa.Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
Mara nyingi nilikuwa naweka mechi hapa bila codes, kelele zikawa nyingi maafisa hawana muda wanataka codes tu. Nikaona betpawa site ndiyo rahisi kutengenezea codes, nimeanza share codes tuko humo.Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
Sasa kama unajua anatuma code za uongo si ubeti kinyume chake ule mahela?Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
🤣 anyways Bora nirudi huko coz possibility ya kuloose game moja ni kubwa kuliko kushinda mkeka na pia nimepata one cut kama 5 recently ukute ningekuwa na good money tu..Ndo ubaya wa flexbet mikekaa inajazanaa wakati yote ushaliwaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hapo angeshare edit yake wote tungekulaUngeweka buku mbili una million nane, kweli mtaji ndounatuangusha