chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
Tuma code za uhakika ambazo hazichani bhnaa usijibu ronyoronyo apa hatuweki mavuzi humu tunatia pesa mkuu watu tuna siku ya saba saizi nashindia ugali kachubari afu unajibu kunya apaJust ziskip na kuziignore tu, hakuna anayekulazimisha kucheza code yeyote hapa.
Yan wewe ni mtu unataka kutafuniwa Kila kitu hutaki kutumia akili yako kabisa utapigwa Sanaa ukipata code ichanganue kwa akili yako piaKama huna code zinazotoa humu bora usipost tu mnatuingiza loss tu wengine tumepoteza zaidi la million moja January hii na hatujui inarudi lini, kama ni mawakala wa Kanji nawaroga walah haiwezekani code zote ziwe zinachana acha uhuni
Kwani umeniajiri kukutengenezea codes? Naona vipigo vya jana vimekuchanganya.Tuma code za uhakika ambazo hazichani bhnaa usijibu ronyoronyo apa hatuweki mavuzi humu tunatia pesa mkuu watu tuna siku ya saba saizi nashindia ugali kachubari afu unajibu kunya apa
wote hawa ni mawakala wa kanji mkuu, bet kwa moyo wako na bahati yako utatoboaKama huna code zinazotoa humu bora usipost tu mnatuingiza loss tu wengine tumepoteza zaidi la million moja January hii na hatujui inarudi lini, kama ni mawakala wa Kanji nawaroga walah haiwezekani code zote ziwe zinachana acha uhuni
Siutengeneze codes zako wewe mwenyewe? Mbona ni rahisi sana tuKama huna code zinazotoa humu bora usipost tu mnatuingiza loss tu wengine tumepoteza zaidi la million moja January hii na hatujui inarudi lini, kama ni mawakala wa Kanji nawaroga walah haiwezekani code zote ziwe zinachana acha uhuni
Hata kama anafanya kazi huko, ina maana huyo AfisaUbashiriMwandamizi anajua matokeo kabla mechi hazijachezwa? chakula cha watotoHuyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
kinachokuponza wewe unataka upige mkwanja mrefu kwa hiyo una papara...nenda polepole kwa game chache tu.....utampiga tu patel....Kama huna code zinazotoa humu bora usipost tu mnatuingiza loss tu wengine tumepoteza zaidi la million moja January hii na hatujui inarudi lini, kama ni mawakala wa Kanji nawaroga walah haiwezekani code zote ziwe zinachana acha uhuni
Kuna odd mbili Jana nimeokota humu bado game ya buyer leverkusen ikachana niliwapa over 1.5 nilitia laki Tatu sasa siusenge huukinachokuponza wewe unataka upige mkwanja mrefu kwa hiyo una papara...nenda polepole kwa game chache tu.....utampiga tu patel....
Unafikiri ni kwann huwa hawaruhusiwi kubet wachezaji na wafanyakazi wa makampuni ya kubet??Hata kama anafanya kazi huko, ina maana huyo AfisaUbashiriMwandamizi anajua matokeo kabla mechi hazijachezwa? chakula cha watoto
Mkuu mimi nimehisi ivo pia maana nikiweka wakwangu uwezekano wa kula huwa mkubwa sana ila ukiokota mkeka humu umebugiwote hawa ni mawakala wa kanji mkuu, bet kwa moyo wako na bahati yako utatoboa
Kuwa na imani, haitachanaKuna odd mbili Jana nimeokota humu bado game ya buyer leverkusen ikachana niliwapa over 1.5 nilitia laki Tatu sasa siusenge huu
Endelea kujifunza, utavuka steps zote hizo. Baadaye utakuwa na ngozi ngumu kama Drake.Kuna odd mbili Jana nimeokota humu bado game ya buyer leverkusen ikachana niliwapa over 1.5 nilitia laki Tatu sasa siusenge huu
Nimeona olympiacos moyo ukashituka. Ana mikeka miwili ananichania peke yake andazi huyo