Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani mie nikishaona timu ya Taifa wanasiasa ndo wanakuwa wasemaji wa timu huwa kimoyomoyo najisemea tumekwisha, huwa tunawapa hope wachezaji na wananchi kiasi kwamba watu wanafikiria kuweza kucheza hata na Brazil kumbe hakuna kitu
Huwa hatumuelewi Mr Pipa,,,,, ila kwa sasa timu ya taifa inatumika kimkakati,,,,,

Ila ndo ulanga wa elimu zetu ulipofikia,,, acha twende hivyo hivyo
 
Equtorial Guinea Vs Guinea Bissau Imetoa GG mapema san kulikua na odd 2.5
game imetoa goli 6. Haya ni maajabu Afcon kutoa goal nyingi kiasu hichi. Afcon ya mwaka huu ni noma
 
Mid-night gift

Egypt WIN

Stake what YOU CAN'T AFFORD TO LOOSE.
 
Sio kwa nia mbaya ila nimefanikiwa pakubwa kujizuia kubet kama mwanzo nilivyokuwa nikifanya, tangu Desemba tarehe za mwanzoni mpaka leo nimebet mara moja tuu tena jana. Next time ni kufuta app ya kubet
Hongera mkuu hii addiction sio kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…