Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

_20240118_175228.JPG
 
Yaani mie nikishaona timu ya Taifa wanasiasa ndo wanakuwa wasemaji wa timu huwa kimoyomoyo najisemea tumekwisha, huwa tunawapa hope wachezaji na wananchi kiasi kwamba watu wanafikiria kuweza kucheza hata na Brazil kumbe hakuna kitu
Huwa hatumuelewi Mr Pipa,,,,, ila kwa sasa timu ya taifa inatumika kimkakati,,,,,

Ila ndo ulanga wa elimu zetu ulipofikia,,, acha twende hivyo hivyo
 
Sio kwa nia mbaya ila nimefanikiwa pakubwa kujizuia kubet kama mwanzo nilivyokuwa nikifanya, tangu Desemba tarehe za mwanzoni mpaka leo nimebet mara moja tuu tena jana. Next time ni kufuta app ya kubet
Hongera mkuu hii addiction sio kabisaa
 
Back
Top Bottom