JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
uko vzr sana, inatia moyo hii5B0DD65 code.(betpawa)
Utanishukuru badae
Unakimbia wapi, endelea kubeti kistaarabu..mimi niliweza kitambo, nabet weekend tu ma nikiwa sina pesa natulia tu, roho hainiumi wala sikopi ilo nibeti.Sio kwa nia mbaya ila nimefanikiwa pakubwa kujizuia kubet kama mwanzo nilivyokuwa nikifanya, tangu Desemba tarehe za mwanzoni mpaka leo nimebet mara moja tuu tena jana. Next time ni kufuta app ya kubet
Hongera sanaAsante Mungu kwa kunipunguzia vipigo vya Kanji kipindi hiki tunapoelekea mwisho wa mwezi. Haya ndiyo mambo ambayo kila Ofisa Ubashiri angependa kuona kila siku.
View attachment 2876446