Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tohoa code humu
907CE10
Kipindi tunachakata timu za leo... Kuzipa market zitakazoweza kuzivusha hadi kesho
Screenshot_20240119-103926.png
 
Sio kwa nia mbaya ila nimefanikiwa pakubwa kujizuia kubet kama mwanzo nilivyokuwa nikifanya, tangu Desemba tarehe za mwanzoni mpaka leo nimebet mara moja tuu tena jana. Next time ni kufuta app ya kubet
Unakimbia wapi, endelea kubeti kistaarabu..mimi niliweza kitambo, nabet weekend tu ma nikiwa sina pesa natulia tu, roho hainiumi wala sikopi ilo nibeti.

Kila kitu kina addiction, sio pombe, wanawake, au vyovyote..ni kucontrol tu,.
 
Back
Top Bottom