Tupo wengi mkuu usijali tumeingia mkenge tena yupo mikeka miwili yote kachana na yupo home hizi daraja la pili Germany ni uongoAmezingua sanaaa anafungwa nyumbani na mtu anaye shika mkia kwenye ligi…
Amewezaje kuongoza ligi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengi mkuu usijali tumeingia mkenge tena yupo mikeka miwili yote kachana na yupo home hizi daraja la pili Germany ni uongoAmezingua sanaaa anafungwa nyumbani na mtu anaye shika mkia kwenye ligi…
Amewezaje kuongoza ligi?
Kila la heri, sunderland yaweza shinda leo.Leo nimetoa direct win Kwa Sunderland
Nimeweka kibunda Cha maana kwelikweli
Pole ndugu, naona sunderland imefungwa.Leo nimetoa direct win Kwa Sunderland
Nimeweka kibunda Cha maana kwelikweli
Pole ndugu, naona sunderland imefungwa.
Zipo baadhiNilisikia mtu anasema 1xbet unaweza weka zaidi ya Option 1 kwenye game moja nimejaribu football Ina block haokubalu
Kama ni hivyo bora nirudi hbZipo baadhi
Yani changanya..Kadi..Kona..Foul na winNilisikia mtu anasema 1xbet unaweza weka zaidi ya Option 1 kwenye game moja nimejaribu football Ina block haokubalu
ndicho unachoweza tu humuPole ndugu, naona sunderland imefungwa.
Dah! Nami hao wamo nimechaniwa vibaya vibaya#UkilewaUsibet
...... Yaani hata sijui nilikuwa nawaza nini [emoji706][emoji706]View attachment 2877009