Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi wadau kwenye one cut ikitokea mechi imekuwa "abandoned" wanaihesabu kama loss ama?
Maana kuna mkeka nilituma humu mechi 33 imetiki ila hiyo abandoned ndio siielewi
Soma pale kwenye alama "i" ambayo kirefu chake ni info, wameeleza wazi kuwa void match yoyote ni Lost.
 
Nahitaji odd 50 za uhakika
itume tena code mkuu
ndicho unachoweza tu humu
Weka hizi uone zinafika odds ngapi, ndiyo matokeo nayo yaamini kwa ipande wangu. Ila hazitafika odds 50.

Mechi 11 tarehe 20 & 21 January 2024, na afisa ubashiri mwandamizi.

Epl:
-Liverpool vs Bournemouth: both teams to score/GG - yes,

Bundesliga:
-RB 0Leipzig vs Bayer Leverkusen: both teams to score/ GG - yes,
-Bayern Munich vs Werder Bremen: over 2.5 goals,
-VFL Bochum vs VfB Stutgart: over 1.5 goals,

La Liga:
-Girona vs Sevilla: double chance (DC) - Girona win or draw (1X),
-Real Madrid vs UD Almeria: Real Madrid win,
-Valencia CF vs Athletic Bilbao: both teams to score/GG - yes,
-Real Betis Seville vs FC Barcelona: both teams to score/GG - yes,

Eredivisie:
-FC Ulrecht vs PSV: FT over 2 5 goals,
-Ajax vd RKC Waalwajk: FT over 2.5 goals,

Liga Portugal:
-FC Porto vs Moreirense FC: over 1.5 goals.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…