Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

...
Screenshot_2024-01-20-14-37-14-28.jpg
 
Wewe ndugu nishakuzoea maneno yako makali, leo umeniamkia tena. Sijui ni hasira za mikeka ya jana kuchana ama laa.
Tuendelee shirikiana pambana na adui yetu, tuna adui mmoja tu. Tusipoteze focus.
Wewe jamaa nahisi ni kizazi cha 1970 kurudi nyuma. Una hekima sana. Ajaribu kutukana kizazi cha 80 na kuendelea aone moto.
 
Mzoee huyu mmoja wa overthinkers kwenye huu uzi, all in all insights zake kwenye mechi zinasaidia wengi humu. Ukichukua maoni yake ukachanganya na maoni ya wengine humu unakuwa well informed kabla ya kufanya maamuzi.
Na wewe ndio maana kila siku unatukanwa. Overthinker wa mikeka?? Kweli naamini sasa anachosema... unamshobokea to the maximum acha akutukane tu.
 
Jitu bandia JITU BANDIA ni moja ya wadau muhimu kwenye huu uzi, hivyo nayachukulia chanya tu maneno yake makali. Nayeye ni binadamu, kuna muda atapata frustrations. Ila hizo haziwezi punguza mchango wake na umuhimu wake kwenye huu uzi.
Wewe jamaa nahisi ni kizazi cha 1970 kurudi nyuma. Una hekima sana. Ajaribu kutukana kizazi cha 80 na kuendelea aone moto.
 
Na wewe ndio maana kila siku unatukanwa. Overthinker wa mikeka?? Kweli naamini sasa anachosema... unamshobokea to the maximum acha akutukane tu.
Mwaka wa tisa sasa toka 2016 nafuatilia huu uzi, livebets na matokeo ya mechi hususani mechi za wikendi za ligi kuu kubwa ulaya. Credits nazompa jitu bandia naamini anastahili (unless otherwise specified).

Ukistudy mikeka yake na arguments zake unapata picha yupo vizuri kichwani upande wa bets. Ila mara kadhaa anapaisha ndiyo maana namuita overthinkers.
 
Back
Top Bottom