Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwaka wa tisa sasa toka 2016 nafuatilia huu uzi, livebets na matokeo ya mechi hususani mechi za wikendi za ligi kuu kubwa ulaya. Credits nazompa jitu bandia naamini anastahili (unless otherwise specified).

Ukistudy mikeka yake na arguments zake unapata picha yupo vizuri kichwani upande wa bets. Ila mara kadhaa anapaisha ndiyo maana namuita overthinkers.
Nilikufikiria tofauti awali, kuniita overthinker,

Nimeamini Maneno yako mkuu,
Ujumbe wako kwangu kuwa overthinking... Umesaidia kunijenga, kujua wapi nilipokuwa nakosea

Umebadili kabisa!... The way ninavyosuka code zangu za kimkakati 2 tu kwa siku, kwa timu chache sana, may be hata 4 tu....

Na sio kujaza timu... Nasuka code huku nikifikiria niwe na mjengo kama wa jirani yangu!

Hapo umakini na uhalisia unatoweka kwenye kusuka code

Ndoto hizo za abunuasi nimezibakia kwenye code nilizozipa jina (kuza cashout codes)

Pamoja sana mkuu.
 
Back
Top Bottom