ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
STUTTGART ni MPUUZI amewezaje kuwa Nafasi ya 3 kwenye Ligi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄 Kwamba waje kuchukua njumu wakafunge wao wenyeweMje mchukue njumu mkafunge nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mnachosha wenzenuuu wawatafutie helaaa
Ndo unajua leooo...sema muda badoo vaa njumu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu Besiktas kumbe ni fala hivi.
Eeeh si wanasema Kubet ni kazi na inalipaa wakati wenzao wanacheza kimzaha mzahaa tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1] Kwamba waje kuchukua njumu wakafunge wao wenyewe
Wanazidi kukandwa tu mammae zao.Ndo unajua leooo...sema muda badoo vaa njumu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leverkusen nae kama simuelewi hivi😃Stuttgart ni wa kuwa nae makini sana... Pumzi inaelekea imekata...
Mwenzake Girona ndio kwaanza kazi inaanza na kuendelea mbele.. anaenda kukiwasha kesho!
Morrow!
Kesho nayo sikuDuh! Ngumu kutoa
Nilikufikiria tofauti awali, kuniita overthinker,Mwaka wa tisa sasa toka 2016 nafuatilia huu uzi, livebets na matokeo ya mechi hususani mechi za wikendi za ligi kuu kubwa ulaya. Credits nazompa jitu bandia naamini anastahili (unless otherwise specified).
Ukistudy mikeka yake na arguments zake unapata picha yupo vizuri kichwani upande wa bets. Ila mara kadhaa anapaisha ndiyo maana namuita overthinkers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Badooo hujasemaaLeverkusen nae kama simuelewi hivi[emoji2]
Labda ushindee njaaa... Mikeka ya humu na Twitter utalambwaa mpaka uhisi kuzimiaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tokea nianze kubet kupitia mikeka ya humu cjawahi kushindaa
Tokea nianze kubet kupitia mikeka ya humu cjawahi kushindaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Beskitas sitaki kumsikia kabisaaaaa yaani nampitaga kama simuoniNdo unajua leooo...sema muda badoo vaa njumu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana mkuu kunywa maji mwa.nan.guTokea nianze kubet kupitia mikeka ya humu cjawahi kushindaa
Tokea nianze kubet kupitia mikeka ya humu cjawahi kushindaa
Labda ushindee njaaa... Mikeka ya humu na Twitter utalambwaa mpaka uhisi kuzimiaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]