Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishindwa kabisa fanya kuni PM ntakuelekezaMkuu hawana Skrill. Wanazo options
Itabidi nijaribu huku pia maana huwa nakomaa "booking" ambazo mpaka refa atoe kadi wakati huku ni kupuliza tu filimbi, nikiweka Jana bookings over 3.5 mechi ya Tunisia na Mali yaani mpaka halftime kweupeeee, mechi imeisha bookings 2 tuKama una mtaji mkubwa, cheza option ya faulo dakika 5 za mwanzo katika game za Afcon.
Karibia mechi zote za AFCON ndani ya dakika 5 za mwanzo kuna faulo lazma zichezwe.
Mkuu mambo niaje,Kuna code7EE2AD8 BETPAWA ulituma hapa juzi kati betpawa umetisha imetembea balaa,niliedit kidogo.Fanya utupie code mkuuNawakumbusha Maafisa Ubashiri mnaotumia tigo, wekeni kabisa mtaji kwenye wallet za kampuni zenu maana kuanzia saa 2 mtandao ulisumbua, unatengeneza mkeka unataka kuvuta hela tigopesa haifanyi kazi na mbaya zaidi makampuni mengi unaweka ela kwa mtandao uliofungulia tofauti na Galsport Kuna options 3 za kuweka ela (Jana niliumbuka)
Kwahiyo leo ni kipute kati ya timu ya hamasa japo awali ilijulikana kama timu ya maombi vs timu ya soka la uwekezaji ( malengo)Ujue kikosi cha hamasa kimeundwa sizani kama watakosa ata goli moja
Tajiri hakuna namna nizipate hizo timu maana natumia betpawa
Hata mimi juzi tu hapo nimempiga 150k kwa 1500 code nimeokota humuhumuNdugu zangu...
Kuna watu wanabeza sana codes za huku jf.
mimi code ikitumwa nabeba nastake low ikiliwa baasi izipoliwa nimewin.
By the way nimeanza bet mwaka jana mwezi may.
Nilianza kwa kuchukua code humu.. kuna code niliichukua nadhan ilikuwa october nikaweka 450 nilikula 662,000,lilikuwa treni la wiki mbili nadhan.
Kuna siku nikachukua tena nikala 60k siku ingine 35k.
Yaani ni hivi usimbeze mtu anapoleta code.. naye katumia akili mingi saaaana kutengeneza.
We ukiona code ipitie,, ukiwa na mashaka achana nayo. Kuchukua code na kupaste iliyo ni uamuzi wako hakuna mtu anakulazimisha. Sasa makosa yako yasisababishe kuwoana wengine wabaya ama mawakala kama mnavyowaita.
UKIONA CODE ZA HUKU UNALIWA, MAKE YOURS HALAFU TWAMBIE UNAVYOKULA. PERIOD.
Kwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .Hata mimi juzi tu hapo nimempiga 150k kwa 1500 code nimeokota humuhumu
Ile Megapari ya moto sana aisee