Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .
[emoji23] Watu bana... yaani nihangaike kutafuta won ya october eti kuleta ushahidi as if huwa tunalazimishana kuweka codes? Kuweni serious basi
 
Ndugu zangu wa Tanzania mnisamehe, hii ni kutokana na ugumu wa maisha, nimebeti mechi za Leo za AFCON. Jana pia nilibeti na kushinda sasa Leo nimeweka tena mzigo, timu yetu nimeweka tunafungwa na ndio maana Nawaomba radhi kwani maombi yangu yatakuwa sawa na mkeka wangu.
 
Kampuni za kamari za karata kitaani.... Maana hata pool table Ina kodi
Karata za mtaani zina kodi hujapata kuona.
Mtu ananunua karata za buku ila kwa vile mnacheza kwa 5000 basi mtajikuta mmelipia kodi ya 5000 kila mchezaji kwa wakati wake pale alipokuwa na wakati mzuri.
 
Mkuu mambo niaje,Kuna code7EE2AD8 BETPAWA ulituma hapa juzi kati betpawa umetisha imetembea balaa,niliedit kidogo.Fanya utupie code m

Mkuu mambo niaje,Kuna code7EE2AD8 BETPAWA ulituma hapa juzi kati betpawa umetisha imetembea balaa,niliedit kidogo.Fanya utupie code mkuu
Bila shaka ile ilikuwa na timu 18 ambayo mie ilichana timu 2? nikitulia labda baadae mida ya mechi saa 11 jioni maana Kuna zingine nili-share nikapigwa kipigo cha mbwa koko.

Wakati mwingine tunaogopa ku-share zikibuma mbaya kama nyekundu nyingi kuliko kijani unaambiwa "wakala wa Kanji".
 
Tusameheane kimtazamo,

Lakini hii ndio Mechi pekee Taifa Stars anaweza pata matokeo!...

Japo kwa tabu sana!... Ingawa haipingiki Zambia ni timu nzuri... Stars hawezi kubali kufungwa kirahisi hivyo unavyofikiria!

Stars anaweza kushinda hii Mechi kwa 1-0 hawa ni wamakonde wenzetu!... Tunajuana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…