Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Si ulete tafiti acheni mboyoyo .. mi mkongwe humu... Soma Uzi umeanza lini!?? Ulikuwepo .. !?? ... Dingii... Usikaze fuvu ..nijibu Kwa tafiti sio mboyoyo...

Nilidhani una hoja kumbe mdomo ndo unao

IMG_0391.jpg
 
wakuu hebu tuwe tunamuomba Mungu sana before betting

imagine mmoja wetu akiwa amekasirikiwa na sir God nae akacheza betts zetu tunakosa ote[emoji54][emoji24]

imagine tips zangu private nisizoshare humu eti 95% hua won, but chache nazoshare humu ati nakuta mshtuko[emoji24], kumbe that day unapata kuna mzee amejosana na sir God then nae anacopy slip tunaenda nae[emoji24]

well msijari guys nmesema tu[emoji23], sio kweli bana, kumiss ni kawaida msjari, huezi kula everyday[emoji23]
Hizo private tips nisogezee nami PM
 
Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...

Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milionea
Day1 1000 * 8odds= 8000
Day2 8000*8odds = 64,000
Day3 64,000*8odds = 512,000
Day4 512,000*8odds = 4,096,000
Day5 4,096,000*8odds = 32,768,000

FANYA hivyo.... Si unazo za uhakika kiongozi... FANYA hivyo siku 5 tu ..
Gundu!!
Yes Gundu!!
Kama haijawa bahati yako utaangukia ndani ya timu hizo 17

Hujawahi ona kama cyo cku yako ya bahati,,, unayoiacha ndo inatoa na unayoifuata inazingua?! Tena unaweza ona inaongoza kabisa alafu jioni kitu,,, ifikilie Frankfurt mechi iliyopita!!

Bahati ni sehemu ya matokeo chanya kwenye betting
 
Gundu!!
Yes Gundu!!
Kama haijawa bahati yako utaangukia ndani ya timu hizo 17

Hujawahi ona kama cyo cku yako ya bahati,,, unayoiacha ndo inatoa na unayoifuata inazingua?! Tena unaweza ona inaongoza kabisa alafu jioni kitu,,, ifikilie Frankfurt mechi iliyopita!!

Bahati ni sehemu ya matokeo chanya kwenye betting
Unaskia dingii... Nicheue.. Sina Ushirika Wala urafiki hatufahamiani..usinikazie fuvu... Ukitaka chukua kama vipi cheua... Mi nipo humu tangu Uzi unaanzishwa... Dingii
 
Wengi wao ni Influencers wa Hizo Kampuni za Kubet, So wanatengenezewa Kila Kitu.

Usijichanganye, Akili za Kuambiwa Changanya na zako
Hapo kwenye kutengenezewa hebu fafanua mkuu. Wanatengenezewa nini wakati anabet na code anapost na wana wengine wanaboom kwa hiyo hiyo code!!!?
 
Hivi hii mechi ya ivorycost mnaielewa kweli!?... Kuna mtu anaiangalia!?... Mbona naona kama refa kapanga haya matokeo!?.. goli zinakataliwa tu!
 
Back
Top Bottom