Hapa sure ni ipi nipite nayo?
Nigeria ongezeaEgypt[emoji736]
Ghana[emoji736]
Atletico madrid[emoji736]
Keyserispor 1xALT MADRID WIN
LEICESTER 1X
BRIGHTON WIN
ALLDBEST
Si ulete tafiti acheni mboyoyo .. mi mkongwe humu... Soma Uzi umeanza lini!?? Ulikuwepo .. !?? ... Dingii... Usikaze fuvu ..nijibu Kwa tafiti sio mboyoyo...
Hizo private tips nisogezee nami PMwakuu hebu tuwe tunamuomba Mungu sana before betting
imagine mmoja wetu akiwa amekasirikiwa na sir God nae akacheza betts zetu tunakosa ote[emoji54][emoji24]
imagine tips zangu private nisizoshare humu eti 95% hua won, but chache nazoshare humu ati nakuta mshtuko[emoji24], kumbe that day unapata kuna mzee amejosana na sir God then nae anacopy slip tunaenda nae[emoji24]
well msijari guys nmesema tu[emoji23], sio kweli bana, kumiss ni kawaida msjari, huezi kula everyday[emoji23]
unashindana na waanzilishi haahaa wameona asubuhi nyingi akina root umewakuta?
unashindana na waanzilishi haahaa wameona asubuhi nyingi akina root umewakuta?
Gundu!!Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...
Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milionea
Day1 1000 * 8odds= 8000
Day2 8000*8odds = 64,000
Day3 64,000*8odds = 512,000
Day4 512,000*8odds = 4,096,000
Day5 4,096,000*8odds = 32,768,000
FANYA hivyo.... Si unazo za uhakika kiongozi... FANYA hivyo siku 5 tu ..
Leo nilijilipua nikaweka Laki 3 kipigo nacho kipata naona Nisimame Kubet [emoji120]
Unalazimisha riziki kwa kanji!
Unaskia dingii... Nicheue.. Sina Ushirika Wala urafiki hatufahamiani..usinikazie fuvu... Ukitaka chukua kama vipi cheua... Mi nipo humu tangu Uzi unaanzishwa... DingiiGundu!!
Yes Gundu!!
Kama haijawa bahati yako utaangukia ndani ya timu hizo 17
Hujawahi ona kama cyo cku yako ya bahati,,, unayoiacha ndo inatoa na unayoifuata inazingua?! Tena unaweza ona inaongoza kabisa alafu jioni kitu,,, ifikilie Frankfurt mechi iliyopita!!
Bahati ni sehemu ya matokeo chanya kwenye betting
Hapo kwenye kutengenezewa hebu fafanua mkuu. Wanatengenezewa nini wakati anabet na code anapost na wana wengine wanaboom kwa hiyo hiyo code!!!?Wengi wao ni Influencers wa Hizo Kampuni za Kubet, So wanatengenezewa Kila Kitu.
Usijichanganye, Akili za Kuambiwa Changanya na zako
Watashinda, wanapiga msako mkali
Mrudi shule... Iko hivii.. ondoka hapo Kwa dada yako ...
Alafu zinachana za mwanzo kabisa, Bora za mwisho mwisho inaweza itatokea miujiza wa cash-outAmna kitu kina kera kama kwenye mkeka wa timu 18 ichane moja