Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Algeria kaangusha meza ya vinywaji vya gharama kubwa sana, Bora hata nisingeangalia hii game... Yaani algeria hamna kitu wale Mauritania wamekosoa magoli mengi ya wazi....
 
Jana Nimeliwa Vibaya Sanaaa

Laki na Hamsini.

Hivi

Sporting Lisbon, Derby Country, Oxford, Algeria ni za Kushindwa Kupata Hata Goal Kweli?
 
Hongera sana kaka. Ulijisajili jana? Na BONUS walikupa? Mimi natumia PARIPESA, Asubuhi hii niliweka odds 10 zote zimetick sema sikuweka mkeka huku. Muda si mrefu naleta mkeka huku


Zote hizi nimevuta hii asubuhi na zimefika Kwa wakati.... Nikabakisha mtaji wa 30... Nimecheza live nimempiga Tena ...navuta 28.... Napumzika....mpaka jioni..nilijisajili
majuzi tarehe 20... Nikaweka na promocode yako..lakini sijapata bonus..sio dhambi... Wanalika vizuri sana hawa jamaa......
 
Najuta Kumpa Direct Win Cameroon.

Kweli E’too alikuwa mkweli watu hawana uchungu na Cameroon [emoji28]
Siku ya Jana kama nakuona vile, half time ulikuwa na mashaka mad he aka alafu kipindi cha pili furaha walivyopata goli la kwanza mpaka la tatu alafu huzuni kubwa walivyosawazisha 3:3 alafu ukamalizia na furaha ya kurukaruka goli lilivyoondolewa na ubao ukasoma 3:2....game la Jana lilikuwa gumu maana mzee mzima angetolewa hapo
 
Wakuu Kabla sijaruka Nataka niagane na Nyonga kwanza, Hizi ni Odds 4 Timu 5 Over 7.5 and 8.5 Corners nataka nijilipue mara ya Mwisho kwenye Betting nataka niweke Laki 2 nichukue Laki 8

Nani Nimtoe hapa nataka nimbadirishe na Girona?

 
utaendelea kupigwa na muhindi mpaka utafirisika wewe......jitahidi kuweka game chache na stake ndogo ..betting ina tabia ya kubadirika badirika...mwezi December nilimpiga muhindi kama laki saba hivi na nilikuwa na stake 5000 tu mwisho 10000 kwa direct win na double chance , over/ under ilikuwa ni kwa uchache saaana...kipindi hiki direct win ni chache na muda mwingine hakuna kabisa......ukiingia kwenye site nyingi za prediction kama sports mole na oddspedding.com utakuta wanavyobeti wao kipindi hiki game nyingi ni droo au over/ under kwa mfano game ya leo ya girona wengi wamempa droo....kuwa makini sana na usitangulize tamaa,,weka mbele hisia na skills tamaa iwe nyuma ya hivyo vitu viwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…