Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Imagine timu umeipa over 2.5 halafu unapata Notification ya Mtu Kukosa Penalty

IMG_5828.jpg
 
Game ya celta vigo huo mlima wa odds za over 1.5 msiogope.
Goli tatu zenyewe zitatoka mapema.
 
toka afcon ianze sijabet nakama ningebet ningepoteza ela nyingi sana,hii afcon imekuwa haitabiriki..
 
Wako vizuri... Nimevuta mtonyo dakika 10 nyingi ...muamala huo.....
Hongera sana kaka. Ulijisajili jana? Na BONUS walikupa? Mimi natumia PARIPESA, Asubuhi hii niliweka odds 10 zote zimetick sema sikuweka mkeka huku. Muda si mrefu naleta mkeka huku
 
Back
Top Bottom