ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Najuta Kumpa Direct Win Cameroon.
Kweli E’too alikuwa mkweli watu hawana uchungu na Cameroon [emoji28]
Kweli E’too alikuwa mkweli watu hawana uchungu na Cameroon [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mkeka mrefu nilimweka mechi ijayo na instra naiwaziajeHili Timu Yaani Hata Goal 1 tuuu hamna [emoji2369][emoji2369][emoji2369] na Alikuwa na odds 1.18 [emoji2297]
Nina mkeka wa odds 43 kachana yeye tu.Kuna Besiktas [emoji28][emoji28] Mtu ana red hata kufunga Goli hawezi
Imagine timu umeipa over 2.5 halafu unapata Notification ya Mtu Kukosa Penalty
View attachment 2880965
Afcon sio ya kubet. Mimi tangu siku ya pili tu ya mashindano ambayo egypt alidroo na mozambique sijawahi kubet tena game ya afconAlgeria ni mwarabu wa Kariakoo.
Dah ,ni ungesema kila siku,nimekaza mechi Tisa,imebaki moja Algeria kaninyima mpunga.afcon ya mwaka huu imekuja kivingine kabisatoka afcon ianze sijabet nakama ningebet ningepoteza ela nyingi sana,hii afcon imekuwa haitabiriki..
Sjawahi bet wakuu
Hongera sana kaka. Ulijisajili jana? Na BONUS walikupa? Mimi natumia PARIPESA, Asubuhi hii niliweka odds 10 zote zimetick sema sikuweka mkeka huku. Muda si mrefu naleta mkeka hukuWako vizuri... Nimevuta mtonyo dakika 10 nyingi ...muamala huo.....
Dah mkuu! Toka spidi sana humu ndani mkuu.Sjawahi bet wakuu