ππMimi nilichashout mapema sanaaa
Iliisha 1-1 [emoji4][emoji4]Hii bet weka mpunga wako wa kutosha aisee, weka tu over 2.5 au 3.5 acha mbwembwe nyingi upate maokoto asubuh hii
Persebaya Surabaya vs
PSIS Semarang
nech inaanza saa tano na ddk 45 asubuh hii
Leta codeView attachment 2888841
Wazee huu mkeka mnauonaje[emoji23]
Ingekuwa hivyo hata Bakhressa angefunga biashara ahamie kwenye betting.Betting ingekuwa kma ulivyopanga hapo duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta code
Hapo kwa south πView attachment 2888841
Wazee huu mkeka mnauonaje[emoji23]
mambo ya kuaminisha watu wastake high, imetoka 1-1Hii bet weka mpunga wako wa kutosha aisee, weka tu over 2.5 au 3.5 acha mbwembwe nyingi upate maokoto asubuh hii
Persebaya Surabaya vs
PSIS Semarang
nech inaanza saa tano na ddk 45 asubuh hii
View attachment 2888841
Wazee huu mkeka mnauonaje[emoji23]
Umegeuka pdidy mkuu!? πππ... Anaetandazaga Aya za quraan humu!... Sijui biblia!?.... Aya za kutosha!5. Mali Vs Burkina Faso corner Range
12+
Odds 5
Umegeuka pdidy mkuu!? [emoji23][emoji23][emoji23]... Anaetandazaga Aya za quraan humu!... Sijui biblia!?.... Aya za kutosha!
Mstaafu Kikwete aliwaambia maticha sijui madaktari za kuambiwa changanya na zako.mambo ya kuaminisha watu wastake high, imetoka 1-1