Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakubwa kwakuwa hata Odds ndogo zinachana, hizi hapa Odds 270+ zenye matumaini ndani yake, 9F84DE2 Betpawa! Weka hata jero kisha ususe huo mkeka maana ni timu 6 tu ila zinafika mpaka jumapili
Timu sita chache bhana,, screen shot na cc tuunge tela kwenye makampuni yetu
 
Hii Al Q usije kuiamini kwa Chochote iwe nyumbani au Ugenini [emoji28][emoji28] Inaongoza ligi lakini ni ya kipuuzi

IMG_5951.jpg
 
HAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri tuliakua tunawekaje badae vodacom wakaingia ubia na M bet kwenye kuweka mikeka mitandaoni..... kwangu mm makampuni yaliyonilea kwenye betting ni m bet na meridian. zamani option zilikua chache sana lakini kanjibhai alikua anapasuka vibaya.
Legendary himself
 
gys im baaaaack[emoji4],

uuuuuh nimekua very busy kiasi na last time nlipokea kipigo cha mmbwa koko from indian[emoji51] nikanina siku 3

well no kugive up, tuendelee

tukutane kesho morning [emoji4]

g9t babes[emoji4]
Unikumbuke ukiweka tips za mikeka
 
Week ya Maokoto Ndani Ya
@helabet_TZ ..odds kubwa, Malipo Ya Faster sana.

▪️JISAJILI HAPA 👉 👉 http://cutt.ly/vwqkufh1

▪️PROMOCODE 👉 BONGE

@helabet_TZ @HelabetsuportTZ

Unapojiunga Helabet Tanzania usisahau kuweka BONGE sehemu ya promo code
 

Attachments

  • IMG_20240130_052545_414.jpg
    IMG_20240130_052545_414.jpg
    59.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom