Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Code inayofaa kwa jumuiya!
E09B43B

Mpakie kilainishi! (Vaseline) huyo manzi!...

Usije kuchubuka! Ukaukwaa!
Screenshot_20240129-100610.png
 
Msaada kwenye tuta,kwa mujibu wa ayo matokeo na iyo option ni sawa au laaaView attachment 2886692

Sijajua kwanini Wamekupatia LOST

GG Ina maana Timu zote Zifungane ndani ya Dakika 90

NG imaanisha Hamna Magoli

Sasa Ukichagua GG 2+ Ukasema YES, Unamaanisha kuwa Timu zote zifungane zaidi ya Magoli 2 kwa kila timu, Yaani Matokeo yawe 2-2, 3-2, 4-3, n.k na Ukiweka NG 2+ Unamaanisha kuwa Timu moja au zote Hazitafunga magoli yanayo zidi 2, Kwamba matokeo yanaweza kuwa 2-1, 3-0, 5-1 n.k

Sasa Ukichagua GG /NG 2+ unamaanisha Moja wapo itokee either kila timu ifunge zaidi ya Goal Mbili au ikishindikana basi Timu moja Wapo isifunge zaidi ya Goal 2, Mfano 2-2, 2-1, 3-2, 4-1

Sasa Sijui kwenye hiyo Kampuni uliyo chagua wao selection ya GG/NG 2+ Wanamaanisha nini.

Huenda wao wanamaanisha kuwa Timu moja isifunge hata Goal Moja yaani Matokeo yawe 2-0, 3-0, 4-0 kitu ambacho sio sawa. Ni Kampuni gani hii?

Kwa Uelewa Wangu hapo Ulitakiwa kuwa Umeshinda [emoji120]
 
Wakati Naenda Kulala niliacha PSG anaongoza Goli mbili, Nimeamka sioni Sms ya Muamala [emoji2369][emoji2369]

Kuangalia kumbe aliishia Ku draw [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Psg kaharibu sana biashara jana. Alikuwa tegemeo kwelikweli lakini alichokitoa ni tofauti kabisa na matarajio
 
Bet Ya Kimkakati PARIPESA Inakuja Muda si Mrefu. Ina odds 2.27 tu.

Jisajili PARIPESA kwenye link hii hapa chini kama bado hujajiunga👇👇.

Jisajili PARIPESA Na Stake Hapa

PROMO CODE WEKA NENO 👉👉 TIPS2424

Bonyeza Hapa kudownload App Ya PARIPESA

Jisajili na uweke pesa kupitia link na promo code hizo hapo juu ili upewe bonus ya mpaka TZS 250000.

Utapewa bonus kulingana na pesa unayo weka kwa mara ya kwanza.
Screenshot_20240122-185730_1.jpg
 
Msaada kwenye tuta,kwa mujibu wa ayo matokeo na iyo option ni sawa au laaaView attachment 2886692
EACH TEAM TO SCORE 2 OR MORE GOALS.
Limekosekana goli 1 kwa hiyo timu iliyopata goli 1 ili mkeka uwin.

ODDS tu zinaakisi hilo
mfano mechi ya fulham v everton EPL kwa option kama hiyo ina odds 4.82

Kwenye option inabidi kuwa makini na OR na AND hasa pale zinapokuwa zimefichwa kiaina.
 
EACH TEAM TO SCORE 2 OR MORE GOALS.
Limekosekana goli 1 kwa hiyo timu iliyopata goli 1 ili mkeka uwin.

ODDS tu zinaakisi hilo
mfano mechi ya fulham v everton EPL kwa option kama hiyo ina odds 4.82

Kwenye option inabidi kuwa makini na OR na AND hasa pale zinapokuwa zimefichwa kiaina.
Ok!ok ila each na and sijaona kbsa,mwenyew mi odds ilinistua nikahic mhindi kajimix
 
Ok!ok ila each na and sijaona kbsa,mwenyew mi odds ilinistua nikahic mhindi kajimix
GG/2+ YES = EACH TEAM TO SCORE OVER 1.5
Yaani ni kama umebeti mara 2, yaani;
1. Team zote zipate magoli
2. Kila timu ipate magoli juu ya 1.5

Sema imefichama kidogo.
Bora ingekuwa wazi kama 1xbet.

Wakati najifunza kubeti nilikutana na option
Team 1 to win and over 2.5 matokeo yakatoka 2:1 ikawa lost nikahisi nimeonewa.
 
BET YA KIMKAKATI PARIPESA LEO

2.195 ODDS

Jisajili na Stake PARIPESA Hapa👇👇

JISAJILI PARIPESA HAPA

📌 PROMO CODE WEKA NENO 👉👉 TIPS2424

PARIPESA App Download Hapa

PARIPESA APK

📌Pata Bonus Ya Mpaka TZS 250000 Kama Utajisajili Na Kuweka Pesa Kwenye Akaunti Yako Ya PARIPESA Kwa Kutumia Link Hizo Hapo Juu Na Promo Code Hii👉👉 TIPS2424

Booking Code 👉👉 A5BD8
Screenshot_20240122-185730_1.jpg
 
Wakubwa kwakuwa hata Odds ndogo zinachana, hizi hapa Odds 270+ zenye matumaini ndani yake, 9F84DE2 Betpawa! Weka hata jero kisha ususe huo mkeka maana ni timu 6 tu ila zinafika mpaka jumapili
 
Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
HAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri tuliakua tunawekaje badae vodacom wakaingia ubia na M bet kwenye kuweka mikeka mitandaoni..... kwangu mm makampuni yaliyonilea kwenye betting ni m bet na meridian. zamani option zilikua chache sana lakini kanjibhai alikua anapasuka vibaya.
 
Hamna Kitu Kinauma Kama Timu ya Kwanza Kwenye Mkeka ndio Inachana [emoji2297]

Haya IRAQ nashukuru kwa kusepa na afu 5 yangu
Iraq na mpira wapi na wapi jamaa yangu!?

Stress zingine mwajitakia wenyewe! Kujitoa muhanga! Halafu mumsingizie Iraq na umejilipua mwenyewe!

Hao Iraq kitu pekee wanajua ni jihad( kujitoa muhanga!

By the way pole!
 
Iraq na mpira wapi na wapi jamaa yangu!?

Stress zingine mwajitakia wenyewe! Kujitoa muhanga! Halafu mumsingizie Iraq na umejilipua mwenyewe!

Hao Iraq kitu pekee wanajua ni jihad( kujitoa muhanga!

By the way pole!

Ki Vipi Mkuu?

Iraq ameamaliza Kundi D Asian Cup akishinda Michezo yote, Akifunga Goal 8 akiruhusu Goal 4.

Alikuwa anacheza na Jordan ambaye kwenye Group Stage ya Asian Cup ameshinda Mechi Moja Tuu?

Nani utampa hapo [emoji2369][emoji2369][emoji2369]

Iraq kamfunga JAPAN, Indonesia, na Vietnam [emoji2369]
 
Back
Top Bottom