Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawaa mkuu, inbox yangu ipo wazi. If your interested. Karibu tuongee.
Hapa Mimi sio mjuaji , Wala siwezi kubeza na kubishana na watu.
Ila sababu najua hapa naweza kupata ma risk taker.
I can share vile Mimi naona , ukiweza kuwa na laki moja mpaka laki na nusu.
Kamwe huwezi Rudi kwenye Mpira huku.

Uwe serious na kazi TU .




Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
kweli uko kikazi, umesisitiza zaidi kwenye "Uwe serious na kazi".

usitumie nguvu nyingi kutafuta watu, kama unajiamini ni sure kama unavyosisitiza, tafuta hata 5,000/= ukuze mtaji then piga hela kimyakimya, simple tu.
 
Sijaelewa hapa Bp Wamefanye nisaidieni?
Screenshot_20240128-204519.jpg
 
Back
Top Bottom