Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi
Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi
Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.