HAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri tuliakua tunawekaje badae vodacom wakaingia ubia na M bet kwenye kuweka mikeka mitandaoni..... kwangu mm makampuni yaliyonilea kwenye betting ni m bet na meridian. zamani option zilikua chache sana lakini kanjibhai alikua anapasuka vibaya.