ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hili Goal La Burkina Faso Kujifunga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
yeah thats owful[emoji57], didnt expect that, but ndo betting mpenzi[emoji19]Iliisha 1-1 [emoji4][emoji4]
well im sorry, even most top punter hii imewakosesha sana today, cas wengi nilowafollow waliweka 2.5 but lost, watu walieka 10M mmoja wa naija like 30M Tsh (in naira) but nliweka 300k and lost[emoji19]mambo ya kuaminisha watu wastake high, imetoka 1-1
Hata akiambiwa hasikii. Kuna siku nilimwambia yeye yupo tofauti kimalengo na sisi wengine hapa.Kayombo Kayombo Tips hiki unachokifanya sasa ni dharau, uchafu na ujinga kwenye huu uzi. Hututendei haki kabisa wadau wa huu uzi. Sijui hata unatuchukuliaje, nahisi unatuchukulia poa sana. Ndiyo maana nimesema ni ujinga pia, unakosea sana. Na huenda hujui unakosea.
Kila dakika matangazo mengi, na mapicha picha. Naona sasa umeongeza picha wadada wanabadili tu mapozi. Pia unabadili tu makampuni unayoyapromote. Unajaza uchafu kwenye huu uzi.
Huu uzi una wadau wengi kuliko unavyoweza dhania.
Hivi goli la bukinabe kafunga naniKwa hiyo haliingii kwenye both team to score?
Ajitambue tu,kuwa huku siko sehemu sahihi ya anachofanya,sehemu sahihi ni X,Facebook na Instagram.Nikuombe uache tujazia uchafu hapa. Nenda huko facebook na instagram ndiko target population yako ipo.
Injinia soma hiyo😅😅😅Aisee kivumbi leo, yaani mpira unaanza tu tayari goliView attachment 2889153
Sasa ntakuwa mteja wao kias flaniHatimae Galsport nao wameweka "cash-out"