Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo kuna Timu nimeiamini nikaiweka kwenye Mkeka. Nikasema Ngoja niangalie Mechi yao Live

Hiki ndio nilicho kutana nacho [emoji28]

Hizi timu tunazo bet bila kuangalia zinatughariku sana

IMG_5965.jpg

IMG_5966.jpg
 
mambo ya kuaminisha watu wastake high, imetoka 1-1
well im sorry, even most top punter hii imewakosesha sana today, cas wengi nilowafollow waliweka 2.5 but lost, watu walieka 10M mmoja wa naija like 30M Tsh (in naira) but nliweka 300k and lost[emoji19]
 
dah nilitaka niruke na burkinabe over 9.5 odds 2.75 nikaghairi.........
inaweza kuisha droo hii game!
 
Kayombo Kayombo Tips hiki unachokifanya sasa ni dharau, uchafu na ujinga kwenye huu uzi. Hututendei haki kabisa wadau wa huu uzi. Sijui hata unatuchukuliaje, nahisi unatuchukulia poa sana. Ndiyo maana nimesema ni ujinga pia, unakosea sana. Na huenda hujui unakosea.
Kila dakika matangazo mengi, na mapicha picha. Naona sasa umeongeza picha wadada wanabadili tu mapozi. Pia unabadili tu makampuni unayoyapromote. Unajaza uchafu kwenye huu uzi.
Huu uzi una wadau wengi kuliko unavyoweza dhania.
 
Hata akiambiwa hasikii. Kuna siku nilimwambia yeye yupo tofauti kimalengo na sisi wengine hapa.
Sisi tunategemea hela kwa mhindi lakini yeye anatafuta hela kwa wabetiji kupitia matangazo yake ya affiliate.

Hajui tu ila anakera. Mtu umekuwa busy siku nzima unataka upitie humu uokote code au uchambuzi ile utengeneze odds zako lakini unakutana na matangazo yake kila ukurasa.
 
Back
Top Bottom