Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NBA itupe breakfast morning[emoji4][emoji120]

4.43 odds from Richard who is in dubai now[emoji4]
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240204_232216.jpg
 
Wakuu! Mimi sijawahi kucopy code hapa halafu nikala

Inamaanisha humu watu mikeka yao inachanikaga yote! au mnaniwekea mikeka mibovu mizuri mnabaki nayo wenyewe!?

Watu wote humu tumeshindwa kuunganisha vichwa vyetu tumfilisi kanjibahi?
Mkuu hapa ndio na mimi hua napata wasiwa, kwamba labda wengi ni watu wa kanji? Iko siku moja tu niliomba code kwa sister mmoja ndio nilikula pekee nao nili stake kidogo kwa uoga ya
 
Yaani betpawa tangie watoe bonus zao huku hakuna mzuka tena Wala sioni win za maana tu, kipindi kile unadeposit 20k unatembea na codes zote za betpawa unaendelea na mambo mengine

Ila hawa wajinga Bora tuwakazie tu ivi ivi, wakiona wateja wamepungua watarudisha bonus tu
Hivi mnafataga Nini huko
 
demu unayemwamini ndiye anakuambukiza gono......

westham nilimtanguliza 3, kachana!
ars/liv kona 8 wametoa under....

kazi ya kijinga sana hii
 
Matokeo ya ajabu ajabu ukienda PAWA 6 watu wanapiga 27/30😃😃
Mkuu watu wanabeti correct score noma sema kama ni uhuni sijui kama wanafanya, ila nimeshakula kama mara mbili hivi kwao buku mbili mbili😁 ya jana nimeangukia point 4 tu
 
Kuna code moja humu nilipost ule mkeka mtu ange edit akaweka double chance za 2x akatoa GG asee ulikuwa unaeleweka balaa, umechanwa na game mbili tu za GG tena za wale wakubwa ila walishinda da!
 
BREAKFAST TICKET ON MEGAPARI 🏀🏀🏀

6.697 ODDS

Code Ya Mkeka: 1774A

Jisajili na Bet Megapari Hapa Chini 👇👇

https://cutt.ly/owZOBkve

https://cutt.ly/owZOBkve

Promo Code Weka Neno: TIPS2424

Pata bonus Ya Mpaka TZS 250000 Kwa Kujiunga Megapari Kupitia link hizo hapo juu na Promo Code. Kumbuka utapata bonus yako mara tu utakapoweka hela kwenye akaunti yako ya Megapari.
Screenshot_20240205-110050_1.jpg
 
Ndugu maofisa ubashiri, mwezi huu tena naleta mrejesho kuhusu biashara ya betting kama mnavyoona kwenye jedwali lifuatalo. Pamoja na vipigo vyote vya mwezi mzima wa January, bado overall balance ipo ya kutosha.

Mtaona kwamba loss kwa mwezi wa Desemba (180,200) ilikuwa kubwa kuliko loss ya mwezi January (31,935). Kwa hiyo, ijapokuwa sijaingiza kiasi chochote lakini kuna improvement kubwa hasa ktk kupunguza kiwango cha hasara. Kazi iendelee!
1707121126740.png
 

Attachments

  • 1707121009769.png
    1707121009769.png
    10.4 KB · Views: 5
Week ya Maokoto Ndani Ya
@helabet_TZ ..odds kubwa, Malipo Ya Faster sana.

▪️JISAJILI HAPA 👉 👉 http://cutt.ly/vwqkufh1

▪️PROMOCODE 👉 BONGE

@helabet_TZ @HelabetsuportTZ

Unapojiunga Helabet Tanzania usisahau kuweka BONGE sehemu ya promo code
 

Attachments

  • IMG_20240205_093346_313.jpg
    IMG_20240205_093346_313.jpg
    66.5 KB · Views: 6
Jamani nyie mnaobet high stake Kuanzia laki 2 kwenda juu huu moyo mnautoa wapi jamani?..hebu nifundisheni mwenzenu Aki Jana kwa Mara ya kwanza nilibet 100k kwa single bet sikulalaa usiku mzima Niko naiwaziaa[emoji23][emoji23][emoji23] na mbaya zaidi game ilikuwa ya saa 9 usiku. Nimeamka Leo asubuhi nakuta mzigo Ila hoo hoo I suffered alot[emoji1][emoji1]. Jamani nipeni mbinu mnatumia watu wa high stake.
 
Jamani nyie mnaobet high stake Kuanzia laki 2 kwenda juu huu moyo mnautoa wapi jamani?..hebu nifundisheni mwenzenu Aki Jana kwa Mara ya kwanza nilibet 100k kwa single bet sikulalaa usiku mzima Niko naiwaziaa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
na mbaya zaidi game ilikuwa ya saa 9 usiku. Nimeamka Leo asubuhi nakuta mzigo Ila hoo hoo I suffered alot
emoji1.png
emoji1.png
. Jamani nipeni mbinu mnatumia watu wa high stake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Utazoea tu,wewe umeweka a single bet
Watu Wana stake high kwenye match mpaka 6.

Ila nakushauri,kwepa sana Mechi za usiku.

Unajua Usingizi ni Afya,narejea Tena na tena Usingizi ni Afya.
Otherwise unajiumiza na at age of 40s utakuwa na tatizo kubwa mnoo,la msongo wa mawazo na kukosa Usingizi kikweli,na hili hupelekea Kupunguza uwezo wa kumbukumbu kwa kiwango kikubwa mnoo
Hii hata kwa vijana wadogo,kukosa proper Usingizi basi shida ya kumbukumbu ipo.

All in Yote,utazoea tu ila punguza tension unapo stake high. Ila ni Option nzuri
 
Back
Top Bottom