Mkuu hapa ndio na mimi hua napata wasiwa, kwamba labda wengi ni watu wa kanji? Iko siku moja tu niliomba code kwa sister mmoja ndio nilikula pekee nao nili stake kidogo kwa uoga yaWakuu! Mimi sijawahi kucopy code hapa halafu nikala
Inamaanisha humu watu mikeka yao inachanikaga yote! au mnaniwekea mikeka mibovu mizuri mnabaki nayo wenyewe!?
Watu wote humu tumeshindwa kuunganisha vichwa vyetu tumfilisi kanjibahi?
Wakuu! Mimi sijawahi kucopy code hapa halafu nikala
Inamaanisha humu watu mikeka yao inachanikaga yote! au mnaniwekea mikeka mibovu mizuri mnabaki nayo wenyewe!?
Watu wote humu tumeshindwa kuunganisha vichwa vyetu tumfilisi kanjibahi?
Hivi mnafataga Nini hukoYaani betpawa tangie watoe bonus zao huku hakuna mzuka tena Wala sioni win za maana tu, kipindi kile unadeposit 20k unatembea na codes zote za betpawa unaendelea na mambo mengine
Ila hawa wajinga Bora tuwakazie tu ivi ivi, wakiona wateja wamepungua watarudisha bonus tu
Yes safi sana hivi ndivyo inatakiwa hata mimi nikimbutua kuanzia milioni 10 ndo nikapata ka mtaji ka kutosha nitawekeza ka biashala ka maana huku kijijini kwetunimeitoa huko twitter (X). kuna jamaa anajiita SONKO, kaacha kubet baada y kubutua milioni 19. zali zalina
View attachment 2894756
Wakuu! Mimi sijawahi kucopy code hapa halafu nikala
Inamaanisha humu watu mikeka yao inachanikaga yote! au mnaniwekea mikeka mibovu mizuri mnabaki nayo wenyewe!?
Watu wote humu tumeshindwa kuunganisha vichwa vyetu tumfilisi kanjibahi?
alicopy akajua hela nje njee...!! kilichomkutaa sasa...Nini kimetokea umekula kipigo heavy nini.
alicopy akajua hela nje njee...!! kilichomkutaa sasa...
Mkuu watu wanabeti correct score noma sema kama ni uhuni sijui kama wanafanya, ila nimeshakula kama mara mbili hivi kwao buku mbili mbili😁 ya jana nimeangukia point 4 tuMatokeo ya ajabu ajabu ukienda PAWA 6 watu wanapiga 27/30😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani nyie mnaobet high stake Kuanzia laki 2 kwenda juu huu moyo mnautoa wapi jamani?..hebu nifundisheni mwenzenu Aki Jana kwa Mara ya kwanza nilibet 100k kwa single bet sikulalaa usiku mzima Niko naiwaziaana mbaya zaidi game ilikuwa ya saa 9 usiku. Nimeamka Leo asubuhi nakuta mzigo Ila hoo hoo I suffered alot . Jamani nipeni mbinu mnatumia watu wa high stake.