Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Nilisema beti ya leo ushind n mazima we umeweka magoli 🤷🏽♂️Yanga katoa ila goli mbili kashindwa yaani najihisi vibaya hakuwa kunisaliti hivi misimu miwili iliyopita
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dakika za jioniiiiiiiiii....farul wanapata penaltyView attachment 2895454
Hawa FSCB Ni matako tuuu
Dakika za jioniiiiiiiiii....farul wanapata penalty
Huu mkeka umefanya uchambuzi kweli au ndo ile ya kujibonyezea!? Risk ni kubwa mno.Treni la Sgr
Code
F69590E0
Sportbet odds za kufa mtu week mzimaaaaa[emoji1787][emoji1787]
Man city keshaanza kutunyongonyesha
Samahani kaka mambo mengi sikuona ujumbe wako ila hiyo option ipo jaribu kuangalia vizuri ipo baada ya option ya second half correct score ukiipata iwekee star kabisa ili ikae katika your favourites Licking Wounds
Hii kweli bonyeza bonyezaaaa sometimes kanji tunamuonea 2 bureee.very riskHuu mkeka umefanya uchambuzi kweli au ndo ile ya kujibonyezea!? Risk ni kubwa mno.
Nimekusoma kaka! Pamoja sanaSamahani kaka mambo mengi sikuona ujumbe wako ila hiyo option ipo jaribu kuangalia vizuri ipo baada ya option ya second half correct score ukiipata iwekee star kabisa ili ikae katika your favourites Licking Wounds View attachment 2895462
Huu mzunguko ni wakutembea na man city hata akutane na yeyote yule mpe city