Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sio kila siku kubashiri tu kuna mda tunatulia na kuangalia mpira kwa raha kabisa! Hii game ya Qatar na Iran ni bonge la mechi na ina kasi sana kama una time tulia uangalie ipo dakika ya 19 tu sahz! Game ya moto sana hii
 
Iran na Qatar Kwenye Corner ilikuwa na Odds Nyingi over 9.5 corners ilikuwa na Odds zaidi ya 2

Na Inaenda kutoa huku iran akiwa kasha pigwa Chuma 3
 
Kama kuna mtu ameona hii NIGERIA V RSA 2X ina odds 1.5.
Kwa ball ninaloona hii inatoka kirahisi.
Labda betting tu ichukue nafasi yake.
 
Nina bahati na hii option ya GG/NG acha nianze kua serious nayo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…