Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nigeria amesuluhu mbona
 
Ila we jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahyo hapo Nigeria ameshinda au ametoa droo! Acha upotoshaji
 

Nigeria wame qualify through penalties usituambie Nigeria won
 
View attachment 2897396
Nimeunda hii mashine ya kesho nayo iko poa ama Kuna miyeyusho
Hizo timu tatu za chini sizijui, zipo ligi ambazo sizifuatilii matokeo yake.
Why umeipa Monaco GG - yes wakati anacheza away na timu ambayo nahisi haipo ligi kuu? Japokuwa France timu ya uhakika ni PSG pekee, bora ujilipue tu mpe Monaco win.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…