AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Sorry cjacheki mienendo ya hizo timu,,, ila Monaco vipi anaweza ruhusu goli?!View attachment 2897396
Nimeunda hii mashine ya kesho nayo iko poa ama Kuna miyeyusho
Hapana hiyo option ni Halftime/full time na sio First half/Second halfWakuu Mimi Nina shida hapa kwenye option ya 2/1
Ninachojua ni kwamba 1H away win na 2H home win
Sasa mfano mechi imeenda 1H inakua 0:1 halafu 2H inakua 1:0
FT 1:1 hapo option ya 2/1 nakuwa imetoa?
Asante mkuuHapana hiyo option ni Halftime/full time na sio First half/Second half
Kwahiyo kama half time imeisha 0:1 basi ili iwe won full time huyo wa home anatakiwa ashinde kwa idadi yoyote ya magoli yani hadi filimbi ya mwisho huyo wa nyumbani inatakiwa awe ameshindq
Asante mkuu
Nilikua nadhan hii option ni simple kumbe Kuna kaugumu fulani
Hiyo option ni ngumu kumeza ndio maana kwenye timu dhaifu sana ikiwa na strong ukimpa strong ashinde 1H then 2H dhaifu achomoe na kushinda inakuwaga na odds hadi 80 na kuendelea.Asante mkuu
Nilikua nadhan hii option ni simple kumbe Kuna kaugumu fulani
Nilishangaa yaani Atletico wa kukosa goli kweli,,,, kumbe mwamba ulicheza hiyo option dah,,,, umetuua aisee🤣🤣🤣 just joking
atletico jana katuliza wengi fala sana, hakuna cha 1x wala over 1.5
[emoji106][emoji106][emoji106]
YANGA vs Mashujaa Jana nilibet ikiwa na Odds 34
Leo zipo 12 Odds
Betting in advance ina umuhim wake