Acheni uoga wa zama zakale dunia ya sasa ipo kiganjani inaendeshwa kwa system hivi unafkr mawakala hawajulikani na serikali unafkr 1xbet haipo bongo acheni uoga mbona mi sijawah ona utapeli wa 1xbet ukiachn na changamoto ya makampuni mengi pale wanapopigwa sana hata meridian bet kuna muda nao hua wanadelay yaani uache maoption kibaoya 1xbet et kisa uoga mbona utapeli upo hata mtaani kwako tu mkuu hata rafiki yako,mzazi kaka au dada anakutapeli tu vzr kuwa jasiri kijana dunia inahitaji kupambana
Mkuu kwani unadhani serikali haijui kama Tz kunauzwa bangi unga gongo, machangu nk?
Kuna tofauti kati ya ku delay kulipa na kutokulipa kabisaaaa
Hebu wewe Jasiri deposit 22bet au Helabet uone kama utaweza kuzitoa hela
Ni wiki ya pili sasa hakuna anayeweza kutoa hela Paripesa
Nimebet na kampuni zote hizo hivyo najua ninacho maanisha
Kuhusu 1xbet
Hata mimi natumia hii kampuni kuliko kampuni yeyote ile
Lakini ukweli ni kwamba tunatumia njia za panya kuweka na kutoa
Nimewahi kudhulumiwa na wakala 370k na sikua na pa kwenda kulalamika sababu kampuni haijasajiliwa bongo
Nimewahi kuzinguliwa na Parimatch nikalalamika bodi ya kamari na wakatatua changamoto yangu...... HII NDIO TOFAUTI MKUU
Unaweza kubet na kambuni yoyote ile duniani online ukatumia bitcoins au hata bank card..... but at your own risk
Narudia tena PARIPESA ni ma tapeli kama 22bet Helabet wanakupiga mchana kweupeeee
Kama una bisha deposit halafu lete ushuhuda hapa