Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Learn or hate! More than 400k✅😂😂
Screenshot_20240216_014942_Chrome.jpg
 
Ambae anahitaji kuacha betting ila bado anashindwa basi anaweza kunipm nikamsaidia tips za muhimu sana. Niliteseka kwenye huu uraibu ila nimelishinda kwa kishindo kikubwa, natamani niwasaidie wenzangu wengi. Sihitaji hata mia yako.
 
Acha utapeli.kama unauwezo weka vitu hadharani tuangaalie uchambuzi wako.
 
Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-16-01-03-03-11.png
    Screenshot_2024-02-16-01-03-03-11.png
    122.2 KB · Views: 3
Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
Wengine hatukudharau Mkuu..
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-16-10-08-58-13.png
    Screenshot_2024-02-16-10-08-58-13.png
    138.2 KB · Views: 4
Tatizo mnajiunga kwenye makampuni bila kusoma sheria na masharti yao mwisho wa siku unakosea wewe padogo system inakugomea unaanza kulaumu yaan hawa 1xbet serikali inawajua vzr tu na wanalipa kodi indirectly
 
Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
Shida picha kufunguka huwa ni issue.. mi code nyingi humu huwa nafata sana
 
Hongera mkuu, kampuni gani? Ulitumia mbinu gani? Mwaka wa 3 huu najaribu sishindi hata bonus
mkuu mi natumia njia za babu ananitokea usiku kama mzimu nakunipa maujanja kampun zote nabetia ilimlad wamesema jackpot
 
Najua hakuna aliefata ila nimekula hela nzuri sana. Tunapokula na kuliwa tuwe pamoja. Poleni sana kwa dharau zenu. Njmesikitika sana watu wanavyo tafuta ushindi kwa tochi alafu hakuna aliefuata.
Ishu ni picha kutofunguka lakini pia watu wengi hawana mtaji wa odds chache. Wanataka kuweka 100 mkeka usome 85M. So tuvumiliane tu hivyo hivyo.
 
Qarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashinda
Naunga mkono
But also sometimes tuangalie options

Mie nilitembea huku
Screenshot_20240216-011001.png
 
Qarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashinda
"Sometimes tusiangalie odds tuangalie kiwango na perfomance ya timu!!!" ...Nimeichukua hii Mkuu.[emoji109]
 
MECHI ZA LEO TAREHE 16/02/2024

Leo timu nyingi zinafanana Sana kinyota:

TANZANIA

(1)Azam vs Geita

Draw au Azam kushinda

(2)KAGERA sugar vs mashujaa
Draw au KAGERA kushinda

NJE

(1)CR Belouzdad vs Al Ahly

Draw au Al Ahly kushinda

by magical power
 
Back
Top Bottom