MADRID SIJUI, SINA CHA KUSEMA
HII KAZI UNAWEZA PATA UGONJWA WA MOYO
Unaweza itoa mkuuHili treni lina hadi mechi ya tar 1/4
Option inauliza je itakuwepo timu iatakayofunga goli kuanzia 3 mfululizo bila ya mpinzani wake kupata goli? Utachagua kama ni YES au NO salama zaidi ukichagua NOHii option ikoje mkuu naomba ufafanuzi kidogo
Vp mkuu naona yametimiaNahitaji Goal Moja Tuu Toka Kwa Club Brugge Nimpasue Muhindi leo
Sijui hawa Mbuzi kama watapata Goal
Vp mkuu naona yametimia
Kwani ulikuwa hujui mkuu[emoji1787][emoji1787] mie siku hizi huwa nabeti timu 10 first 10 minutes draw, alhamdulillah siku haipitagi bila hata kupata 50-100k ya bia. Hazipiti siku 2 namliza kanji. Huko option zingine nilishapakwa grisi sana[emoji1787]Aisee wakuu leo nimeshangazwa sana japo ni kawaida kwenye mchezo wa mpira.
Kule Netherlands kwenye ligi ya Eredivisie kulikuwa na mechi kati ya Vitesse Arnmes na Fc Valendom. Niliomba magoli matatu kwa maana ya over 2.5
Ndani ya dakika sita za kipindi cha kwanza kila timu ilipata goli ikawa 1-1. Nikasema leo mkeka unatick mapemaaa.
Daaaah! Kilichotokea ni kwamba hawajafungana tena mpaka mpira unaisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanji ni konyo sana jamani. Inawezekana tunashindana na nguvu za giza hatujijui.
OK namna ya kuipata hii option maana nimeangalia sijaiona mkuuOption inauliza je itakuwepo timu iatakayofunga goli kuanzia 3 mfululizo bila ya mpinzani wake kupata goli? Utachagua kama ni YES au NO salama zaidi ukichagua NO
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah! Mkuu betting ni ya matajiri. Sisi wa 100, 100, 200 Kanji anatupiga sana.Kwani ulikuwa hujui mkuu[emoji1787][emoji1787] mie siku hizi huwa nabeti timu 10 first 10 minutes draw, alhamdulillah siku haipitagi bila hata kupata 50-100k ya bia. Hazipiti siku 2 namliza kanji. Huko option zingine nilishapakwa grisi sana[emoji1787]
Hakika mkuu. Niliwahi kuwin odds 350+ ya double chance zilikuwa mechi zote Europa na Conference. Ukitulia double chance ni bonge la option bila ya kusahau bahati pia iwe kwako. Unaona Monaco alichofanywa? Na ni ngumu sana mechi yake na odds alizopewa kuweka double chance ya 12. Mapambano yaendelee ila tukumbuke tu kutoboa hela ndefu kwenye betting ni bahati sana. Wenye mitaji bado wataendelea kunufaika na huu mchezo.Aisee kubeti raha sana asikwambie mtu.
Leo Nilikua na open bets 10 za sh 100 mia saivi nacheki apa nakuta naulizwa maana ya Cashout.!!
ila nilichokuja kugundua option nzuri kwenye huu mchezo wa mpira wa mguu ni DOUBLE CHANCE.
ukiweza kubashiri mechi kwa mtindo wa 1X, 12, au X2 basi nakuhakikishia lazima utamrudisha Kanji Bombay kuendelea na kilimo cha pilipili.
bayern munich pia atachana mikeka ya watu leo,subiri ushuhudie!Nafikir Game iliyo Nunuliwa leo ni Ya Madrid…..
Timu zingine zote zinatiki Kipindi cha Kwanza Tuuu
Kanji amekaa pale anakuchora tu...mambo ya double chance halafu timu zenyewe za kingese kama Twente enschede analizwa nyumbaniAisee kubeti raha sana asikwambie mtu.
Leo Nilikua na open bets 10 za sh 100 mia saivi nacheki apa nakuta naulizwa maana ya Cashout.!!
ila nilichokuja kugundua option nzuri kwenye huu mchezo wa mpira wa mguu ni DOUBLE CHANCE.
ukiweza kubashiri mechi kwa mtindo wa 1X, 12, au X2 basi nakuhakikishia lazima utamrudisha Kanji Bombay kuendelea na kilimo cha pilipili.